Monday, April 15, 2013
KAJALA APATA MCHUMBA MPYA, NI MFANYAKAZI WA WEMA
Kajala ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa mtayarishaji wa muziki maarufu hapa Bongo “P-Funk” na kufanikiwa kupata naye mtoto mmoja, hivi sasa inasemekana ana-roll na mchizi mmoja ambaye ni member wa kampuni ya Endless Fame ya Wema Sepetu. Solid snitch wa bongomovietz.com ambaye amezipata za chinichini na ku-notice nyendo mbili tatu za bootylicous actress Kajala Masanja kupitia BBM na mshkaji huyu. Directly unaweza kukubali kwamba yes, Jamaa na Kajala ni mtu na mpenzi wake kwa sasa. All is well, its a new life for Kajala and she deserve to love and to be loved. Best wishes kwenye kila anachokifanya hasaa kazi ya yake ya movie.
SHIBUDA AANDAA MAANDAMANO YA NG'OMBE HADI IKULU KWA KIKWETE
Mbunge wa Maswa Magharibi, John Shibuda
anatarajia kuongoza maandamano makubwa ya ng’ombe kutoka Lusumo
Nyakabanga Mkoani Kagera, hadi Ikulu kwa Rais Jakaya Kikwete ili kupinga
uonevu na manyanyaso wanayofanyiwa wafugaji.
“Kama watu
wanasema ni porojo za Shibuda, basi wasubiri kama hotuba ya Waziri Mkuu
haitakuwa na majibu kwa wafugaji, lazima hayo yatatokea kwa mara ya
kwanza katika historia ya nchi yetu, hawa nao ni binadamu waambiwe basi
kama hawatakiwi Tanzania,” alisisitiza.
Mbunge huyo
alitoa kauli hiyo juzi akiwa na uongozi wa wafugaji kutoka Kanda ya Ziwa
ambao wako Dodoma kwa lengo la kuonana na Mawaziri wa Maliasili na
Mawaziri wa Mifugo akiwemo Waziri Mkuu, ili kufikisha kilio cha wafugaji
ambao wanateketezewa mifugo yao na askari wa wanyama pori.
Shibuda alisema
kuwa “Katika nchi yoyote duniani hakuna mateso yanayofanywa kwa wananchi
wake kama ambavyo inafanyika Tanzania kwa upande wa wafugaji, ni heri
ya wakimbizi watakuwa na amani kuliko hawa wanaonekana kama takataka.”
JOKATE AMCHEKA UWOYA BAADA YA KUSIKIA KATOKA NA DIAMOND
Jokate Mwegelo ‘Kidoti’.
MWANAMITINDO Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, ameangua kicheko
baada ya kusikia mwigizaji Irene Uwoya kunaswa hotelini na Nasibu Abdul
‘Diamond’.
Jokate aliangua kicheko hicho juzikati
jijini, Dar wakati alipozungumza na paparazi wetu na alipogusiwa kuhusu
suala la Uwoya kunaswa na Diamond, alicheka sana huku akimshangaa.
“Hahaha
sasa ndiyo nini tena, yeye si aliwahi kunisema mimi nakwapua mabwana?
Sasa leo imetokea kwake tena!” alisema Jokate.
Irene Uwoya.
"SHILOLE NI MNAFIKI…MIMI SIKUMBAKA BALI ALINIPA PENZI KWA HIARI YAKE"
MZAZI mwenziye na
staa wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Makala Elias
amembomoa staa huyo na kumwambia aache kuungopea umma kuwa alibakwa
wakati waliishi naye kinyumba.
Akiongea na mwandishi wetu, Makala
aliweka wazi kuwa anasikitika anapomsikia Shilole akisema kwamba alipata
ujauzito baada ya kubakwa wakati walioana na kuachana miaka ya nyuma
kabla staa huyo hajawa maarufu.
“Namsihi Shilole aache kusambaza
taarifa kwenye vyombo vya habari na kuwafanya Watanzania wamuone mtoto
aliyenaye alimpata kwa njia ya kubakwa wakati alikuwa ameolewa na
mimi,’’ alisema Makala ambapo Shilole alikataa kuzungumzia juu ya ishu
hiyo akidai ameshazungumza mara nyingi.
BINTI ATUMIA FACEBOOK KUELEZA HISIA ZAKE ZA MAPENZI KWA DIAMOND........!!!
Katika hali ya kushangaza, binti mmoja
maarufu kwa jina la Hilda amejitokeza hadharani kupitia
facebook yake na kudai kuwa yupo tayari kugawa penzi kwa
diamond hata bure ili naye ajionee kinacho wafanya wanawake
wenzie wamgombanie...
Huu ni ujumbe wake
"Hey tsup..!! Diamond nipe penzi lako
nionje kinachofanya kila mwanamke akung'ang'anie na kukutaka..
nataka kujua ni ufundi ama una
mashine kubwa au spe*m zako zina almasi???.. c'moon plutnumz give me a chanche to one
nite
Wema,Wolper,Uwoya,Aunt Ezekiel
...haiwezekani....Mwanaume unacho cha ziada siyo bure...
Nahitaji any time na popote.nitakuvulia chupi bila
hofu.take my body right now bro..."
ZITTO KABWE AZIDI KUIUMBUA CHADEMA KUTOKANA NA TAMKO LAO
Namba hiyo iliyotajwa katika TAMKO imewahi kuwa
namba yangu ya Simu. Namba hii nimeacha kuitumia toka mwezi Juni/Julai
mwaka 2012. Hata hivyo namba hii bado inaonekana kwenye businesscard
yangu na kwenye email zangu sehemu ya anuani. Namba hii haijawahi kuwa
ya Zoka. Imewahi kuwa ya Zitto Zuberi Kabwe peke yake. Namba hii
haitumiki toka katikati ya mwaka 2012.
Kama JF inataka kuthibitisha hili waunde jopo la wanaJF watakaopata taarifa za namba hii popote wanapoweza kupata.
Kama JF inataka kuthibitisha hili waunde jopo la wanaJF watakaopata taarifa za namba hii popote wanapoweza kupata.
HII NDIO KAULI YA MJENGWA BAADA YA KUKAMATWA NA POLISI MAKAO MAKUU KUHUSU KUTEKWA KWA KIBANDA HII HAPA
Ndugu zangu,
Kama alivyowataarifu kaka yangu Nyaroonyo Kichehere, ni kuwa, jana Jumamosi nilikuwa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kuanzia saa tano asubuhi ya jana mpaka saa tatu usiku. Ilihusu mahojiano ya Polisi na mimi kuhusiana na sakata la ndugu yetu Absalom Kibanda.
Ukweli sikukamatwa mahali popote, bali niliitwa na Kamishna ( Upelelezi) Advocate Nyombi. Alhamisi nikiwa Iringa, tukakubaliana na kiungwana na Kamishna Nyombi kuwa nifike Makao Makuu hayo ya polisi Jumamosi saa tano. Ikawa hivyo.
Hapo nilipokelewa na Kamishna Nyombi. Baada ya mazungumzo mafupi ndipo akawaita maofisa wengine watano wa Upepelezi kufanya mahojiano nami.
Niliomba niwe na Mwanasheria, nikakubaliwa. Nilimpigia simu kaka yangu Nyaroonyo, naye, kwa vile ni Wakili pia wa Kibanda akanisaidia kuhakikisha napata wakili mwingine. Pamoja na kuwa ilikuwa ni Jumamosi, ndugu yangu Nyaroonyo Kichehere alifanya alivyoweza.
Ndani ya dakika 40 hivi alifika chumba nr 704 ghorofa ya saba akiwa na Wakili Jacquiline Rweyongeza na Legal Officer Dickson Mbonde. Nilimshukuru Kaka Nyaroonyo Kichehere. Na nilimuaga kwa kumwambia; “ Nenda ukaifahamishe jamii juu ya hiki kilichonitokea”.
Nachukua fursa hii pia kuwashukuru kwa dhati kabisa dada yangu Wakili Jacquiline Rweyongeza na kaka Dickson Mbonde kwa kuacha yote ya Jumamosi na kuwa tayari kuwa msaada kwangu.
Sunday, April 14, 2013
TAMKO LA CHADEMA KUHUSU NJAMA ZA KUKICHAFUA ZINAZOFANYWA NA GENGE LA VIONGOZI WAKUU WA CCM NA VYOMBO VYA DOLA
Ndugu waandishi wa habari;
LEO
tumewaita hapa ili kuwaomba mtufikishie ujumbe kwa Watanzania, kwamba
nikiwa mwanasheria na mtu ambaye nimepata ujuzi wa kazi za ushushu,
nimefanya uchunguzi matukio haya ya utekaji na utesaji na kugundua mambo
mengi mno.
Uchunguzi huu
nimeufanya kabla na baada ya kukamatwa kwa Mkurugenzi wetu wa Ulinzi na
Usalama, Willifred Muganyizi Lwakatare, ambaye hivi sasa anashitakiwa
mahakamani kwa tuhuma za kupanga ugaidi.
Nimefanya hivyo
kwa kuangalia maslahi mapana ya taifa langu na chama changu. Katika
uchunguzi wangu huo, nimegundua mambo mengi ikiwamo kuwapo kwa genge la
watu ndani ya serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaopanga mipango
hii ya kishetani na kisha kuwasingizia watu wengine.
Angalieni mfano huu: Unaoitwa na polisi
na Mwigulu Nchemba, “mkanda wa Lwakatare” unadaiwa uliwasilishwa jeshi
la polisi Desemba mwaka jana. Lakini jeshi hilo halikumkamata yoyote
wala kumhoji, hadi pale Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom
Kibanda, alipovamiwa na kuumizwa.
Aidha, Nchemba amedai kumiliki video
ile Desemba mwaka jana, lakini rekodi hiyo iliwekwa kwenye mitandao ya
kijamii (YouTube na Jamii Forum) baada ya kutekwa kwa Kibanda. Hapa mtu
makini anaweza kujiuliza, hiki kimelenga nini?
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA Taarifa kwa Vyombo vya Habari
14
Aprili, 2013
Jeshi la
Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linasikitika kutangaza kifo cha
Meja Jenerali Rashid Mnalihinga Makame (mstaafu) ambaye amefariki dunia
tarehe 14 Aprili, 2013 saa kumi na mbili na nusu asubuhi, katika
Hosptali ya TMJ.
Pamoja
na nyadhifa mbalimbali alizowahi kushika Jeshini na Serikalini, Meja
Jenerali Rashid Mnalihinga Makame (mstaafu) alikuwa Mkuu wa JKT wa
tano. Kama mnavyofahamu umuhimu wa JKT, yeye ni miongoni mwa Makamanda
walioleta tija kubwa katika kuwalea Vijana wa Kitanzania na kuwajengea
nidhamu na uzalendo.
Mpango
wa Mazishi unafanywa, mtajulishwa baadae juu ya wapi na lini atazikwa
Meja Jenerali Rashidi Mnalihinga Makame (Mstaafu). Msiba upo nyumbani
kwake Mikocheni, karibu na nyumbani kwa Hayati Mwl J.K Nyerere.
MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI
ROHO YA MAREHEMU
Meja
Jenerali Rashidi Mnalihinga Makame (MSTAAFU) AMINA.
Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao
Makuu ya Jeshi, Upanga
SLP
9203, Simu: 0764-742161
Email:ulinzimagazine@yahoo.co.uk
Chadema yatishia kujitoa mchakato wa Katiba Mpya
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kitajitoa
katika mchakato wa Katiba Mpya endapo mambo muhimu mawili hayatapatiwa
ufumbuzi hadi kufikia Aprili 30, mwaka huu.
Wakati Chadema wakisema hayo, Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), limesema uchaguzi wa wajumbe wa Mabaraza ya Katiba uliomalizika siku tatu zilizopita katika maeneo mbalimbali nchini haukuwa huru na ni batili, huku likipendekeza urudiwe katika maeneo yote yaliyokumbwa na kasoro.
Katika hoja zake, Chadema kimesema kinataka kufutwa kwa uteuzi/uchaguzi wa wajumbe wa Mabaraza ya Wilaya ya Katiba uliofanywa na Kamati za Maendeleo za Kata na badala yake wajumbe wa Mabaraza ya Katiba ya Wilaya wachaguliwe moja kwa moja na wananchi wa Kata husika bila kuchujwa na Kamati za Maendeleo za Kata (WDC).
Wakati Chadema wakisema hayo, Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), limesema uchaguzi wa wajumbe wa Mabaraza ya Katiba uliomalizika siku tatu zilizopita katika maeneo mbalimbali nchini haukuwa huru na ni batili, huku likipendekeza urudiwe katika maeneo yote yaliyokumbwa na kasoro.
Katika hoja zake, Chadema kimesema kinataka kufutwa kwa uteuzi/uchaguzi wa wajumbe wa Mabaraza ya Wilaya ya Katiba uliofanywa na Kamati za Maendeleo za Kata na badala yake wajumbe wa Mabaraza ya Katiba ya Wilaya wachaguliwe moja kwa moja na wananchi wa Kata husika bila kuchujwa na Kamati za Maendeleo za Kata (WDC).
Msimamo huo ulitolewa na Msemaji Mkuu wa
Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe wakati akisoma hotuba yake ya
makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2013/14 huku akiitaka
Serikali kuwasilisha muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Katiba ili
maeneo kadhaa yafanyiwe marekebisho.
MWANAMKE ANUSURIKA KUUAWA NA PADRI AMBAYE NI MPENZI WAKE HUKO KIBAHA......!!
( picha na maktaba)
Bi Celestina
Ananius(35) amenusurika Kuuawa na Padri wa kanisa katoliki parokia ya Hombolo iliyoko Dodoma kwa jina
la Celestine John Nyaumbana ambaye kwa Sasa anaishi kwenye Makazi ya Katoliki Mbezi kwa
ajili ya Masomo.
Dada huyo
anasema amekuwa katika mapenzi na padri huyo tangia akiwa Fratel, akawa
Shemasi na sasa ni padri na suala hilo ni siri yao na wazazi wa pande
mbili hadi wamezaa mtoto anaitwa Agnes (3).
Bi Celestina ambaye anaishi Dodoma alikuja Dar kumfuata Mpenzi wake huyo ili ajue hatima ya huyo mtoto wao....
Sasa wakati wapo Dar padri huyo alimuomba mpenzi wake huyo watoke kidogo kwenda kutembea maeneo ya Kiluvya...
Walipofika huko wakati wapo katikati ya
pori padri huyo alishuka kwenye gali na kumshambulia dada huyo kwa
madhumuni ya kumuua na kupoteza ushaidi ila hakufanikiwa kumuua .....
Taarifa za Polisi Mkoa wa Pwani zinaonyesha kuwa Mwanamke huyo aliokolewa na Wasamalia wema na kukimbizwa Hospitali ya Tumbi Kibaha kwa matibabu!!!
source: Police Kibaha na Wapo radio kipindi cha Patapata
Subscribe to:
Posts (Atom)