Kesi ya Uchochezi na Uharibifu wa
mali inayo
mkabili Sheikh Ponda Issa Ponda na wenzake leo imeendelea katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu Jijini Dar es Salaam huku Polisi wakiwa katika doria kali ya
kuimarisha
ulinzi katika viunga jirani na Mahakama hiyo ambayo imejizolea umaarufu
mkubwa
jijini Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla kwa jinsi inavyo endesha
kesi na
watu wa aina mbalimbali kufikishwa katika mahakma hiyo kabla ya baade
kesi zao
kuhamia Mahakama Kuu kwa hatua zaidi za kisheria.
Sheikh Ponda Issa Ponda akiwa
katika basi la Magereza tayari kwa kurejeshwa Mahabusu.
Msafara ukianza kutoka Mahakama
ya Kisutu
Wafuasi waliokuwa nje wakiimba
wakati gari likitoka
Wafuasi wa Sheikh Ponda Issa
Pondawakilifuatilia gari lililombeba kiongozi wao wakati akitoka
Mahakama ya Kisutu.
Mkazi
wa jiji akipita kando ya kundi la Askari nje ya Mahakama ya Hakimu Mkzi
Kisutu wakati Askari hao walipo imarisha Ulinzi nbje ya Mahakama hiyo.
Ustaadh huyu alitishiwa na Mbwa
akataka kutoka baruti
Wengine zaidi wakitoka Mahakama
ya Kisutu
Wakiwapokea na kuwapongeza wenzao
wanao tuhumiwa pamoja na Ponda
Kundi la Wafuasi likiwa
limejikusanya karibu na Jengo la Sophia House huku Polisi wakiwa kando
yao.
Doria barabarani nayo ilikamilika
Ulinzi ulikuwa ni wa Uhakika
Mbwa maalum wa Polisi nao
walikuwa kazini hapa wakikata kiu kutokana na jua kali.
Hapa ni Fanya Fujo Uone kilicho
mfanya Kanga akose Manyoya shingoni
Kikosi maalum cha Kutuliza Ghasia
Magerezani (KMKM) nacho kilikuwepo