Wiki
mbili baada ya kutangazwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya England
kupitia chama cha wanasoka wanaocheza EPL mshambuliaji wa kimataifa wa
Uruguay Luis Suarez ambae ni miongoni mwa mastaa wa soka waliowahi
kumiliki headlines kwa kipindi kirefu, amechaguliwa tena kuwa mwanasoka
bora wa England na chama cha waandishi wa habari za michezo Uingereza.
Suarez mwenye umri wa miaka 27 aliwashinda
kwa kura nyingi wachezaji wengine akiwemo nahodha wa Liverpool na
England Steven Gerrard.
Magoli
30 aliyofunga msimu huu kwenye EPL yameiweka Liverpool kwenye nafasi ya
kutwaa ubingwa wa Premier League baada ya miaka 24. Tafadhari Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Kwa Kubofya/ Click Neno Jambo Tz
Hii ndio listi ya washindi wa tuzo hiyo tangu mwaka 1990 mpaka leo
1989–90 John Barnes
1990–91 Gordon Strachan
1991–92 Gary Lineker
1992–93 Chris Waddle
1993–94 Alan Shearer
1994–95 Jurgen Klinsmann
1995–96 Eric Cantona
1996–97 Gianfranco Zola
1997–98 Dennis Bergkamp
1998–99 David Ginola
1999–00 Roy Keane
2000–01 Teddy Sheringham
2001–02 Robert Pires
2002–03 Thierry Henry
2003–04 Thierry Henry
2004–05 Frank Lampard
2005–06 Thierry Henry
2006–07 Cristiano Ronaldo
2007–08 Cristiano Ronaldo
2008–09 Steven Gerrard
2009–10 Wayne Rooney
2010–11 Scott Parker
2011–12 Robin van Persie
2012–13 Gareth Bale
1990–91 Gordon Strachan
1991–92 Gary Lineker
1992–93 Chris Waddle
1993–94 Alan Shearer
1994–95 Jurgen Klinsmann
1995–96 Eric Cantona
1996–97 Gianfranco Zola
1997–98 Dennis Bergkamp
1998–99 David Ginola
1999–00 Roy Keane
2000–01 Teddy Sheringham
2001–02 Robert Pires
2002–03 Thierry Henry
2003–04 Thierry Henry
2004–05 Frank Lampard
2005–06 Thierry Henry
2006–07 Cristiano Ronaldo
2007–08 Cristiano Ronaldo
2008–09 Steven Gerrard
2009–10 Wayne Rooney
2010–11 Scott Parker
2011–12 Robin van Persie
2012–13 Gareth Bale
No comments:
Post a Comment