MUME WA JOYCE KIRIA, HENRY KILEWO AWALIZA WATU KWENYE MKUTANO MABIBO SAHARA
Leo akiwa anawahutubia wakazi wa
mabibo-Sahara kwa mara ya kwanza toka atoke jela huko gereza la uyui-
Tabora ktk mkutano ambao mgeni rasmi alikua John Mnyika, aliwaliza
baadhi ya wananchi waliofika katika mkutano huo. Hii kutokana na kuguswa
na hotuba ya kamanda Kilewo ambayo ilikua inaudhunisha kutokana na
simulizi ya namna alivyokamatwa na huko jela namna ya watu waliofungwa
pasipo na hatia.
kiukweli inasikitisha, lakini bado
alisisitiza kwa kusema 'hakuna dhambi kubwa hapa duniani kama uoga' na '
watatupiga kwa mabomu na watatu ua kwa risasi lakini na wao watakufa
kwa presha ya dhambi