Rehema akikubali kuolewa na Chaz.
Wakikumbatiana baada ya kufunga ndoa.
Chaz Baba akimpigia simu bi harusi (mkewe) ili awahi misa ya ndoa yao.
Bw. na Bi Deo Mutta waliokuwa wasimamizi wa Chaz Baba.
Chaz Baba (kulia) akiwa na marafiki zake.
Bi harausi akiwekwa sawa kuingia kanisani.
Tukio hilo la Chaz kutinga katika ukumbi wa Mango liliwashangaza wengi kwani kwa wakati ule Chaz alitakiwa kwenda kupumzika kutokana na mkewe kuonekana amechoka kwa sababu ya ujauzito wake. Tembelea http://jambotz8.blogspot.com/ kila siku.
“Shemeji yetu anaonekana kachoka sana lakini Chaz ndio kwanza anaonekana hana hata muda wa kwenda kulala mapema” alisema shabiki mmoja aliyekuwa ndani ya ukumbi.
Chaz Baba alifunga ndoa na Rehema Sospeter Marwa, siku ya Agosti 24, mwaka huu katika kanisa la St Peters jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment