Sunday, August 18, 2013

ARSENAL YAANZA LIGI KWA KICHAPO, YAPUMZISHWA 3-1, BENTEKE NOMA!, LIVERPOOL, SOUTHAMPTON, FULHAM, WEST HAM ZACHINJA


Neat finish: Arsenal's Olivier Giroud, left, opens the scoringMtaalamu wa kufunga: Nyota wa Arsenal,  Olivier Giroud,  kushoto, akiandika kimiani bao la kwanza kwa Arsenal

 
Kikosi cha Arsenal: Szczesny 4; Sagna 5 (Podolski 90), Koscielny 5, Mertesacker 5, Gibbs 5 (Jenkinson 28, 5); Wilshere 6, Ramsey 5, Rosicky 6; Walcott 6, Chamberlain 6 (Cazorla 46, 5); Giroud 6. 
Wachezaji wa Akiba: Fabianski, Frimpong, Gnarby, Sanogo. Villa: Guzan 7, Lowton 7, Vlaar 7, Baker 6 (Clark 17, 7), Luna 7; El Hamadi 7, Westwood 7, Delph 8; Agbonlahor 7, Weimann 8 (Bacuna 88); Benteke 8
Wachezaji wa Akiba: Steer, Okore, Helenius, Bowery, Tonev. Mchezaji bora wa mech:  Benteke Mwamuzi: Anthony Taylor – 4

Sharp shooter: Giroud celebrates his goalGiroud akishangilia bao lake

Saved: Arsenal's Wojciech Szczesny keeps out Benteke's penalty...Anaokoa: Kipa wa Arsenal Wojciech Szczesny akiokoa penati ya  Benteke.

benteke.….Lakini  Benteke  alitingisha nyavu tena kwa njia ya kichwa

Bloodied: Arsenal's Kieran Gibbs lies on the floor with a cut head after a clash of heads with Villa's Andreas WeimannMchezaji wa  Arsenal,  Kieran Gibbs akiwa amelala chini baada ya kugongana na mchezaji wa  Villa,  Andreas Weimann na kupata majeraha

Controversy: Santi Cazorla, Per Mertesacker and Wojciech Szczesny cannot believe that referee Anthony Taylor has awarded a second penaltyHii Balaa: Santi Cazorla, Per Mertesacker na Wojciech Szczesny hawaamini kama mwamuzi wa mchezo Anthony Taylor anawazawadia penati ya pili Villa.

Arsenal manager Arsene Wenger looks dejected on the touchlineAaaah! ndio nameshajileta maneno tena: Wenger akionekana amekata tamaa wakati wa mechi hiyo

 
Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com na soccerstand.com KOCHA Arsene Wenger ameanza vibaya ligi kuu soka nchini England dhidi ya  Aston Villa ambapo mshambuliaji  Christian Benteke amefunga mabao mawili kwa njia ya penati zilizokuwa na utata katika ushindi wa mabao 3-1. Gunners walikuwa wa kwanza kuandika bao kupitia kwa   Olivier Giroud dakika ya 6, lakini dakika ya 22,  Benteke aliisawazishia bao hilo Ason Villa kwa njia ya mkwaju wa penati.
Mwamuzi wa mchezo huo,  Anthony Taylor aliwazawadia Villa penati hiyo baada ya kipa wa Arsenal, Wojciech Szczesny kumfanyia madhambi  Gabriel Agbonlahor.
Mkwaju huo wa Benteke uliokolewa na kipa Szczesny, lakini nyota huyo raia wa Uholanzi alifuta makosa baada ya kuuzamisha kwa njia ya kichwa mpira huo na kuandika bao kimiani. Dakika ya 62, Benteke aliandika bao la pili kwa mkwaju mwingine wa penati na kumpasua kichwa Wenger ambaye mpaka sasa hajafanya usajili wowote wa maana majira haya ya kiangazi.
Antonio Luna aliandika bao la tatu katika dakika ya  85 na kuipa ushindi timu yake.
 
MATOKEO MENGINE YA MECHI ZA LEO

England: Premier League

Finished
 
 Liverpool
1-0
Stoke 
 
(1-0)
Finished
 
 West Ham
2-0
Cardiff 
 
(1-0)
Finished
 
 Sunderland
0-1
Fulham 
 
(0-0)
Finished
 
 Norwich
2-2
Everton 
 
(0-0)
Finished
 
 Arsenal
1-3
Aston Villa 
 
(1-1)
Finished
 
 West Bromwich Albion
0-1
Southampton 

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...