Prince William akiwa na familia yake saa24 baada ya mtoto George Alexander Louis kuzaliwa.
Prince William na mwanaye George Alexander Louis.
Mtoto huyo ambaye hii leo alikutanishwa na bibi yake kwa mara ya kwanza amepewa jina La George Alexander Louis ambalo ndio litakuwa jina lake rasmi.
Pamoja na kukutana na bibi yake mkuu hii leo George Alexander Louis ambaye umri wake ni siku mbili tu alipelekwa kijijini kwa wazazi wa mama yake Kate Middleton kama ilivyo kwenye utamaduni wa watu wa Uingereza.
No comments:
Post a Comment