Monday, April 08, 2013
Sunday, April 07, 2013
LULU AONGOZA WASANII NA WENZIE KUTEMBELEA KABURI LA KANUMBA NA KUKUTANA NA MAMA KANUMBA.
Lulu akiwa na mama yake mzazi leo walipo tembelea kaburi la marehemu Steven Kanumba ikiwa ni mwaka mmoja toka amefariki |
Wakimuombea Marehemu Steven Kanumba |
ANGALIA PICHA ZA BONGO MOVIES WAKIPATA LUNCH NYUMBANI KWA WEMA SEPETU
CEO wa kampuni ya Endless Fame Pro' Wema Sepetu Leo amewaalika wasanii wenzake wa Bongo Movie Nyumbani kwake Kijitonyama kujumuika nae kwa pamoja kwenye Chakula cha mchana..... |
Hatman & Irene Uwoya |
ANGALIA PICHA ZA NDOA YA MZEE PHILIP MANGULA NA MWALIMU YOLANDA KABEREGE, JANA
Akifungisha
Ndoa Hiyo Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kusini Njombe Isaya
Mengele Amekumbusha Maneno ya Mungu na Kuwataka Wanandoa Kuishi Kwa
Misingi ya Dini Kama Ilivyoelekezwa Kwenye Vitabu Vya Dini.
Kulia ni mkuu wa wilaya ya Njombe Bi.Sarah Dumba akiwa na waziri mkuu Mizengo pinda katikati akifuatiwa na Katibu mkuu wa CCM.
Kushoto
ni msemaji wa familia ya mzee Philip Mangula Dr.Lechion Kimilike
ambaye ni Mhadhiri wa chuo kikuu huria cha Tanzania Tawi la
Njombe[NJOMBE OPEN UNIVERSITY].
Saturday, April 06, 2013
MSANII WA BONGO FLEVA AFARIKI DUNIA KWA KUJIDUNGA SINDANO ZA MADAWA YA KULEVYA....!!
MSANII
chipukizi wa muziki wa kizazi kipya aliyetambulika kwa jina moja la
Rocky mkazi wa Kawe, Dar amefariki dunia baada ya kujidunga madawa ya
kulevya.
Kwa mujibu wa chanzo kilichoshuhudia tukio hilo na kuomba hifadhi ya jina lake, marehemu anayekadiriwa kuwa na umri wa
Ray C
AFUNGWA MIAKA 10 JELA KWA KOSA LA "KUMPIGA DENDA" NA KUMTOMASA UKENI BINTI WA MIAKA 13 HUKO MPANDA
MAHAKAMA
Hakimu ya Mkazi ya Wilaya ya Mpanda imemhukumu Kassim Lugendo (41)
mkazi wa kijiji cha Kambanga tarafa ya Kabungu kifungo cha miaka 10 jela
kwa kosa la kumnyonya ulimi mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 13,
anayesoma darasa la tano katika Shule ya Msingi Igalula, bila ridhaa
yake.
Hakimu
Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Chiganga Tengwa alitoa hukumu hiyo
jana baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo.
Awali
katika kesi hiyo, Mwendesha Mashtaka, Mkaguzi wa Polisi, Ally Mbwijo
aliieleza mahakama hiyo kuwa mshitakiwa Lugendo alitenda kosa hilo Machi
30 mwaka jana, saa sita mchana akiwa nyumbani kwake.
Ilidaiwa
kuwa siku hiyo ya tukio mtoto huyo alikuwa akitoka shuleni akielekea
nyumbani kwao ndipo mshitakiwa alipoona anapita karibu ya nyumba yake
ambapo alimwita msichana huyo na kisha alimwingiza kwa nguvu nyumbani
kwake.
MAHAKAMA
Hakimu ya Mkazi ya Wilaya ya Mpanda imemhukumu Kassim Lugendo (41)
mkazi wa kijiji cha Kambanga tarafa ya Kabungu kifungo cha miaka 10 jela
kwa kosa la kumnyonya ulimi mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 13,
anayesoma darasa la tano katika Shule ya Msingi Igalula, bila ridhaa
yake.
Hakimu
Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Chiganga Tengwa alitoa hukumu hiyo
jana baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo.
Awali
katika kesi hiyo, Mwendesha Mashtaka, Mkaguzi wa Polisi, Ally Mbwijo
aliieleza mahakama hiyo kuwa mshitakiwa Lugendo alitenda kosa hilo Machi
30 mwaka jana, saa sita mchana akiwa nyumbani kwake.
Ilidaiwa
kuwa siku hiyo ya tukio mtoto huyo alikuwa akitoka shuleni akielekea
nyumbani kwao ndipo mshitakiwa alipoona anapita karibu ya nyumba yake
ambapo alimwita msichana huyo na kisha alimwingiza kwa nguvu nyumbani
kwake.
TANZANIA YAONGOZA KWA UNYWAJI WA POMBE ZA KIENYEJI (MATAPUTAPU)
Pombe ya kienyeji ikiandaliwa tayari kupelekwa kwa walaji
UTAFITI wa Kituo cha Habari cha Marekani CNN, umebaini kwamba Tanzania ni nchi ya sita barani Afrika kwa watu wake kunywa pombe chafu (mataputapu).
Utafiti
huo wa Machi 23 mwaka huu, ulibaini kwamba Uganda inaongoza kwa kunywa
pombe chafu maarufu kama Luwombo kwa asilimia 14.52 ikifuatiwa na Rwanda
kwa asilimia 6.44.
Kwa
mujibu wa utafiti huo, Tanzania inashika nafasi ya tano kwa kuwa na
asilimia 4.52, ikiwa nyuma ya Burundi yenye asilimia 5.07.
Ivory
Coast imekuwa nyuma ya Tanzania kwa kuwa asilimia 3.55 huku Tanzania
ikiipiku Burkina Faso iliyoambulia asilimia 3.77, kwa wa watu wake
kunywa pombe chafu.
HUYU NDO BIBI ANAYEDAI KUISIKIA SAUTI YA MUNGU
Amani
usiamini! Bibi kizee Veronica Amos Kayombo (76), mwenyeji wa Ludewa,
Njombe anayeishi Buza, Dar, amedai kuisikia sauti ya Mungu ikimuagiza
akaonane na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho
Kikwete ampe ujumbe muhimu, shuka nayo.
MAHOJIANO MAALUM
Akizungumza
katika mahojiano maalum mwanzoni mwa wiki hii akiwa
nyumbani kwake Buza, Bibi Veronica alisema amekuwa akitokewa na Mungu
mara kwa mara na kumpa maelekezo mengi ambayo anatakiwa kuyatoa pale
atakapofika kwa Mheshimiwa Rais Kikwete.
AUNT EZEKIEL ANASWA NDANI YA POZI LA NUSU UCHI UKUMBINI
Kweli
sikio la kufa halisikii dawa! Licha kuolewa na Sunday Demonte, msanii
wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel ametia aibu kwa mara nyingine tena
baada ya kunaswa nusu utupu ukumbini usiku wa manane.
Tukio
hilo lililoshuhudiwa na mwandishi wetu lilijiri juzikati katika Ukumbi
wa Nyumbani, mjini hapa ambapo Aunt aliwashangaza mashabiki waliofurika
kwenye shoo ya Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’.
Aunt
alivaa kipensi kilichoacha mapaja yote wazi hadi kulazimika kujifunika
kwa pochi na kitopu ‘transiparenti’ kilichoonesha kila kitu hadi
‘chakula ya mtoto’.
Zanzibar yapiga marufuku ndoa za jinsia moja.
Mhe. Abubakar Khamis Bakar, Waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, imetunga sheria ya kupiga marufuku ndoa za watu jinsia moja.
Waziri
wa Katiba na Sheria wa Zanzibar, Bwana Abubakar Khamis Bakar,
aliyasema hayo kwenye Kikao cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakati
akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Wawi, Saleh Nassor Juma kutoka
Chama cha Wananchi (CUF).
Katika
swali lake, Bw. Saleh Nassor Juma alitaka kujua ni lini Serikali ya
Zanzibar itatunga sheria ya kukataza ndoa hizo na kuweka adhabu kali
kwa watu ambao watabainika kufanya vitendo hivyo vichafu.
Waziri Abubakar amesema, ndoa za watu wa jinsia moja ni kinyume na utamaduni Zanzibar na kwamba sheria hiyo imeweka adhabu ya kifungo cha miaka saba kwa wale wote watakaopatikana na hatia hiyo.
Pia alisema kama ninavyomnukuu: "Sheria hii inahusu makosa mengi yakiwemo ya ubakaji, zinaa, usagaji na umalaya ambayo yote yana adhabu ya kifungo cha maisha au miaka isiyopungua 30 gerezani," mwisho wa kunukuu.
DIAMOND, OMMY DIMPOZ WAPIGANA VIJEMBE KWENYE TWITTER...!!
In between, Ommy Dimpoz jumped in... This is too far hilarious ... Ha ha ha ...
Ni kweli haya yanatokea??!!
Check them tweets hapa chini :
Subscribe to:
Posts (Atom)